Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Tanzania Yapokea Mabaki ya Joshua Mollel Aliyeuawa na Hamas, Mazishi Kufanyika leo Manyara

  • 64
Scroll Down To Discover

Mabaki ya mwili wa Kijana Joshua Mollel aliyeuwawa nchini Israel na wapiganaji wa HAMAS Oktoba 07, 2023 yamewasili Novemba 19, 2025 katika kiwanja cha Ndege cha kimataifa cha Kilimanjaro (KIA).

Mabaki ya mwili huo yamepokelewa na Ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa na Balozi Silima Haji Kombo.

Mabaki ya Kijana Joshua Mollel yanatarajiwa kuzikwa leo Novemba 20, 2025 mtaa wa Njiro, katika kata Orkesumet Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara.



Prev Post Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF 2025 Zilizofanyika Morocco
Next Post Rais Samia na Rais Museveni Watunukiwa Tuzo za Heshima na CAF
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook