

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali na Stashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la tatu) ya chuo hicho kikongwe.
Jumla ya wahitimu 2,452 walihudhurishwa kwenye mahafali hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Kati ya wahitimu hao, wanawake ni 1,386 sawa na asilimia 56.6 huku wanaume wakiwa 1,066







Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!