Watu 240 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam Tanzania kwa tuhuma za uhaini, zinazohusishwa na maandamano ya siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw











Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!