Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waandamanaji wakaidi amri ya jeshi Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • 9
Scroll Down To Discover

Waandamanaji wameingia mitaani nchini Tanzania kwa siku ya tatu mfululizo, kukaidi amri iloyotolewa na mkuu wa jeshi la nchi hiyo ya kuwataka kukomesha vurugu hizo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika katika miji mikuu, waandamanaji wengi wao vijana wanaojulikana kwa jina maarufu kama Gen Z, wakitaja uchaguzi mkuu uliofanyika Jumatano kutokuwa huru na wa haki kwa sababu viongozi wakuu wa upinzani walizuiliwa kugombea dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan. #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post China Yazindua Roboti za Mbwa Vita na Gari la Kijeshi la AI
Next Post Rais Samia aapishwa, SADC ikisema uchaguzi ulikuwa na dosari, katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook