Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Maandalizi ya uchaguzi mkuu Tanzania 2025. Katika Dira ya Dunia TV

  • 40
Scroll Down To Discover

Ikiwa imesalia siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, aliyekuwa makamu wa Rais wa Uganda Daktari Speciosa Wandira Kazibwe anaongoza ujumbe wa waangalizi kutoka jumuiya ya Afrika Mashariki EAC watakaotumwa nchini Tanzania kuangalia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Ujumbe wa EAC unatumwa siku chache baada ya ujumbe mwingine kutoka jumuiya ya kimaendeleo ya Afrika kusini SADC kutumwa nchini humo. Ujumbe huo wa SADC unaongozwa na Richard Msowoya ambaye ni Spika wa zamani wa bunge la Malawi. #Tanzania #uchaguzi2025 #bbcswahili #CCM #samiasuluhuhassan #Chadema #Heche #uchaguzimkuu2025 #uchaguzimkuu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post OSHA Yadhamiria Kuongeza Uelewa wa Wadau Kupitia Vyama vya Wafanyakazi
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 25, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook