Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt. Samia Amuenzi Hayati Magufuli kwa Dua Maalum, Chato

  • 6
Scroll Down To Discover

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, katika eneo la Rubambangwe, Chato mkoani Geita, tarehe 13 Oktoba 2025.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post Ugonjwa Hadi Kifo: Safari ya Mwisho ya Mwalimu Julius Nyerere Ilivyokuwa
Next Post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 14, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook