MAGAZETI ya Leo Alhamisi 10 April 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Uhima nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania umefikia asilimia 55.
“Serikali tayari imeshachangia mtaji wa Dola376 milioni sawa na asilimia 15 ya hisa kupitia mradi huo jumla ya ajira 6,610 zimeshaanza kuzalishwa ,” amesema Majaliwa.
Majaliwa ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma Jumatano, Aprili 9, 2025, wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa mwaka 2025-2026.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!