Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Pacome Zouzoua Ashikiki Yanga SC, Akivuna Tuzo Sita Za Mchezaji Bora Wa Mwezi Na Kuweka Rekodi Ya Mabao Nane Na Asisti Tisa

  • 8
Scroll Down To Discover

STAA wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua ameweka rekodi yake ya kwanza ya kutwaa Tuzo sita za Mchezaji Bora wa mwezi huku akifunga mabao nane akipiga asisti tisa hadi hivi sasa katika Ligi Kuu Bara.

Pacome mwenye uwezo wa kuchezea mpira huku akipiga chenga za mahudhi, amekuwa katika kiwango bora msimu huu baada ya kuhusika katika upatikanaji wa mabao 17.

Muivory Coast huyo hadi hivi sasa inaelezwa ana ofa kadhaa kutoka Ukanda wa Kaskazini mwa Afrika na bado hajaongeza mkataba mpya Yanga.



Prev Post MAGAZETI ya Leo Alhamisi 10 April 2025
Next Post Mbunge Madaba Aongoza Msafara Wa Tanzania Katika Mkutano Wa 150 Wa Mabunge Duniani Uzbekistan
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook