Kampeni za kuwania urais zimeanza rasmi nchini Uganda huku wagombea wanane akiwemo Rais Yoweri Museveni wakitarajiwa kuchuana katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Leo baadhi ya vyama vimezindua sera zao kwa wapiga kura.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!