Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mgombea Ubunge Buchosa Asisitiza Kuthamini Rasilimali Za Nchi – Video

  • 5
Scroll Down To Discover

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM, Eric Shigongo, amesema anajivunia kuwa Mtanzania na kuwataka wananchi wa Kata ya Kafunzo kuthamini utajiri wa rasilimali zilizopo nchini.

Shigongo alitoa kauli hiyo alipokuwa akimnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Kafunzo, Tungalaza Kabobo (CCM), wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika kata hiyo.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 28, 2025
Next Post Rais Samia ampongeza Simbu kwa ushindi wa Dunia, Amkabidhi Nyumba jijini Dodoma
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook