Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amezungumzia uamuzi wa nchi zikiwemo Ufaransa na Uingereza kutambua taifa la Palestina, na kuuita "kujiua kitaifa". Ni "wazimu mtupu, ni wazimu na hatutafanya hivyo," Waziri Mkuu wa Israel anasema.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!