Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RECAP: Msanii asipojua kuimba Live inaathiri Muziki wake?? – El Mando

  • 7
Scroll Down To Discover

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia mjadala ulioanzishwa na wadau wa burudani mitandaoni kuwa Msanii asiyejua kuimba Live sio msanii mkali.

Kupitia kwenye kipindi chake kasema sio kweli msanii alisipojua kufanya Live sio msanii mkali, ametolea mfano wasanii wakubwa duniani ambao asilimia kubwa hawafanyi Show za Live.

Anasema Ubora na ukali wa msanii haupimwi kwa kujua kuimba LIVE, unaweza kuimba Live lakini usiwe msanii mkali.

Kwa upande wako unasemaje, Unakubali kuwa msanii asiyejua kufanya Live sio msanii mkali??

Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

Cameraman @samirkakaa



Prev Post RECAP: Kuna Mashabiki wa Muziki hawapendi Live – El Mando
Next Post RECAP: Diamond & Alikiba yupi ni Msanii bora wa muda wote?? – El Mando
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook