
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia mjadala ulioanzishwa na wadau wa burudani mitandaoni kuwa Msanii asiyejua kuimba Live sio msanii mkali.
Kupitia kwenye kipindi chake kasema sio kweli msanii alisipojua kufanya Live sio msanii mkali, ametolea mfano wasanii wakubwa duniani ambao asilimia kubwa hawafanyi Show za Live.
Anasema Ubora na ukali wa msanii haupimwi kwa kujua kuimba LIVE, unaweza kuimba Live lakini usiwe msanii mkali.
Kwa upande wako unasemaje, Unakubali kuwa msanii asiyejua kufanya Live sio msanii mkali??
Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman @samirkakaa
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!