
watengeneza Maudhui maarufu nchini kwa jina la @TIT_4TAT wakiwa katika Studio zetu za Bongo5 wamefunguka mengi juu ya maisha yao kama Content Creators changamoto wanazopitia pia wamefunguka juu ya kiasi cha fedha wanachoingiza kwa mwezi.
Wametuma ujumbe wao kwa @ommydimpoz kwamba wanaomba wakumbukwe nao kwenye Tuzo za Comedy kama zilizotoka hivi karibuni kwa msimu ujao.
Pia wametoa ushauri kwa wasanii kupata Elimu ili kuendana na soko la sasa la Sanaa.
Kuangalia Video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga & @Abbrah 255
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!