MAGAZETI ya Leo Jumanne 01 April 2025
Klabu ya Simba imempongeza Rais wa heshema, Mohammed Dewji ambaye pia ni Mwekezaji wa klabu kwa kutajwa na jarida la Forbes kuwa tajiri wa 12 barani Afrika
Simba imempongeza Mo Dewji baada ya utajiri wake kupanda kutoka USD 1.8 Bilioni hadi USD 2.2 Bilioni
Jarida la Forbes hufanya utafiti kila mwaka na hutoa orodha ya Wafanyabiashara wenye ‘ukwasi’ na thamani ya utajiri wao.
Mo ameendelea kutajwa na jarida hilo kila mwaka sasa akiingia katika orodha ya matajiri 15 wenye ukwasi mkubwa zaidi barani Afrika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!