Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

TAHARUKI KILINDI: Mwili wa Mzee Wenye Umri wa Miaka 85 Wafukuliwa, Kichwa Chatoweka – Video

  • 62
Scroll Down To Discover


Wananchi wa Kijiji cha Mgela, kilichopo wilayani Kilindi mkoani Tanga, wamekumbwa na taharuki baada ya mwili wa marehemu, ambaye ni mzee wa miaka 85 aliyefahamika kwa jina la Mohammed Mjaila na aliyekuwa amezikwa miezi miwili iliyopita kijijini hapo, kufukuliwa na kisha kukatwa kichwa na watu wasiojulikana.

Akizungumza kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, amesema kuwa wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo, huku akibainisha kuwa hali ni shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.



Prev Post Puma Energy Yazindua Kampeni ya “Safari ya Uhakika na Oil za Puma” kwa Wateja Wote Nchini
Next Post Taasisi Na Asasi Za Kimataifa Zilizopewa Kibali Cha Kuwa Waangalizi Wa Uchaguzi!!
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook