Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kuwa sehemu ya bilioni 1.5 kutoka LOOT Legends, Ni Meridianbet Pekee

  • 41
Scroll Down To Discover

Meridianbet, kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania, imezindua promosheni kali kabisa ya msimu huu, ni LOOT Legends. Hii ni nafasi ya kipekee kwa wapenda slots kushiriki kwenye mashindano ya wiki 10 ya leaderboard yenye zawadi kubwa ya hadi TZS 1.5 bilioni taslimu. Kuanzia Juni 30 hadi Septemba 7, 2025, kila mchezaji ana nafasi ya kuondoka na hadi TZS 30 milioni kwa spin moja tu, bila masharti ya kubet tena.

Kwa wiki zote 10, kutakuwa na mashindano mapya kila wiki yakisindikizwa na TZS 150 milioni kwenye mfuko wa zawadi. Mshindi wa kwanza wa kila wiki anaweza kujishindia TZS 30 milioni taslimu, huku zaidi ya washindi 10,000 wakitarajiwa kupata zawadi mbalimbali. Hii si ndoto, ni Meridianbet, na fursa hii iko mezani sasa.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na LOOT Legends, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Ili kushiriki, unachotakiwa kufanya ni kujiunga ndani ya mchezo. Kisha cheza spin yoyote ya pesa halisi yenye dau la angalau TZS 280 kwenye michezo iliyoteuliwa. Nafasi yako kwenye leaderboard inategemea ushindi mkubwa zaidi kutoka spin moja. Kwa mfano, ukicheza TZS 28,000 na kushinda TZS 7,000,000, unapata pointi 250,000. Na cha kuvutia zaidi, ni spin yako bora pekee ndiyo itakayoamua nafasi yako, haijalishi mara ngapi umecheza.

Zawadi zako? Ukishinda, utapokea taarifa ya “Claim” ndani ya siku 7 kupitia akaunti yako na zawadi itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako. Na cha muhimu zaidi, zawadi zote ni pesa taslimu na unaweza kuzitoa papo hapo bila masharti ya kubet tena. Hakuna longolongo, hakuna mizengwe, ni ushindi safi kutoka Meridianbet.

LOOT Legends inajumuisha michezo yenye burudani ya kutosha kama vile 12 Masks of Fire Drums, 333 Boom Banks, Arena of Gold, Bass Cash X UP, Gold Blitz series, Candy Combo, Fire and Roses Joker, na mingine nyingi. Hii ni nafasi ya kujaribu bahati yako kwenye slots bora kabisa na kugeuza spin yako kuwa milioni.

Usikae ukisubiri hadithi za washindi wengine. Jiunge sasa na Meridianbet kupitia tovuti rasmi au application, cheza slot zako upendazo, na jiweke kwenye nafasi ya kuwa shujaa wa LOOT Legends. Huu si mchezo wa kawaida, ni njia mpya ya kujipatia kipato kikubwa huku ukiburudika.

 

 



Prev Post Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Mwaka wa Waganga Wakuu Dodoma
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook