Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

NAFASI Za Kazi GSM Group Tanzania

  • 38
Scroll Down To Discover

NAFASI Za Kazi GSM Group

NAFASI Za Kazi GSM Group

NAFASI Za Kazi GSM Group Tanzania

GSM Group Tanzania ni Kampuni ya Kitanzania inayoendeshwa na ubunifu wenye mgawanyiko wa biashara, usafirishaji, rejareja na mali ofisi, inayofanya kazi kote Afrika Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika, ukilenga kutoa bidhaa na huduma bora na kuunganisha biashara kwenye soko la Afrika.

GSM Group inafanya kazi katika sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na biashara, viwanda, vifaa, rejareja na mali isiyohamishika.

GSM Group, kupitia GSM Foundation, imeshirikiana na CCBRT na Young Africans SC katika kampeni ya #MuwezesheAtembee kuchangisha fedha kwaajili ya matibabu ya kubadilisha maisha ya watoto.

GSM Group inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi za Ajira zilizoanishwa hapa chini;



Prev Post CMSA, Hazina Zaipongeza Vertex Ujio Bidhaa Mpya Sokoni
Next Post Mataifa ya Afrika yaanza kuumia kwa ushuru wa Trump, katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
© Image Copyrights Title

Nafasi za Ajira Serikalini

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook