Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

VIONGOZI WA BENKI YA NMB WAHUDHURIA UZINDUZI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 

  • 46
Scroll Down To Discover

DODOMA;

Julai 17, 2025 Viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA. David Carol Nchimbi,(Kulia) wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC) jijini Dodoma, wakifuatilia kwa makini hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Uzinduzi huo umefanyika leo chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, sekta binafsi pamoja na wadau wa maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi.

Benki ya NMB, kama mshirika mkuu wa maendeleo ya kiuchumi nchini, imeonesha dhamira yake ya kuunga mkono utekelezaji wa Dira hii mpya inayolenga kuifikisha Tanzania katika hatua za juu za maendeleo jumuishi, shindani na endelevu ifikapo mwaka 2050



Prev Post Msafara wa Twende Butiama 2025 wahitimishwa wilayani Butiama
Next Post Ruto: Wapinzani hawana mipango ya ajira, wanachochea vurugu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook