Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Baba Mzazi wa Mbwana Samatta Afariki Dunia – Video

  • 26
Scroll Down To Discover

Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta, amefariki dunia asubuhi ya leo, Julai 6, 2025.

Msiba upo Mbagala, jijini Dar es Salaam, ambapo familia, ndugu, jamaa na marafiki wamekusanyika kuomboleza msiba huo mzito.

Timu ya Global TV ipo eneo la tukio na itaendelea kukuletea taarifa kamili kuhusu msiba huu, ikiwemo ratiba ya mazishi, ujumbe wa familia, na yale yote yanayoendelea nyumbani kwao Samatta.

Taarifa zaidi zitafuata. Pole kwa familia ya Samatta, wapendwa na mashabiki wote wa soka nchini.



Prev Post Yanga Yaanza Mazungumzo na Dickson Job Kuhusu Mkataba Mpya
Next Post WANAOPIGWA PANGA YANGA HAWA HAPA….JINA LA CHAMA LAWEKEWA ‘FAILI’ MAALUMU….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook