
Meridianbet inakuletea promosheni ya kusisimua ya LOOT Legends, mashindano ya wiki 10 yanayokupa nafasi ya kushinda sehemu ya zawadi za TZS 1.5 bilioni kuanzia tarehe 30 Juni hadi 7 Septemba 2025. Promosheni hii imekusudiwa kwa wachezaji wa michezo ya sloti, ikiwapa fursa ya kujipambania pesa taslimu za thamani kupitia ushindi wao wa kipekee.
Kushiriki ni rahisi. Jisajili (opt-in) kwa kila wiki ya mashindano, kisha cheza michezo ya sloti kwa spin za pesa halisi za kuanzia TZS 280 au zaidi. Nafasi yako ya kushinda inategemea win multiplier ya juu zaidi kutoka spin moja, yaani, spin moja yenye ushindi mkubwa zaidi ndiyo itakayokuletea pointi za kupanda kwenye jedwali la mabingwa. Kila wiki, TZS 150 milioni zitatolewa kati ya washindi 1,000, na jumla ya zawadi za TZS 1.5 bilioni zitagawanywa mwishoni mwa promosheni.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Zawadi zote ni pesa taslimu zisizo na masharti ya kuchezewa tena, zinazokuwezesha kutoa pesa zako mara moja. Washindi watapokea taarifa kupitia pop-up notification na watalazimika kubofya “Claim” ndani ya siku 7 ili kuthibitisha kupokea zawadi zao.
Michezo inayoshiriki ni pamoja na 12 Masks of Fire Drums, Candy Combo, Bass Cash X UP, Arena of Gold: Shields of Glory, Gold Blitz, Fire and Roses Joker, na 333 Boom Banks, pamoja na mingine mingi.
Promosheni hii inafuata kanuni zote za michezo ya bahati nasibu nchini Tanzania, huku Meridianbet ikihakikisha uwazi na uadilifu kwa wachezaji wote. Hii ni nafasi yako ya kuwa legend.
Jisajili sasa meridianbet kupitia tovuti yao ama application ya simu, kisha cheza sloti, na uanze safari yako ya kushinda utajiri mkubwa na kujikuza zaidi kiuchumi.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!