Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

USHINDI WAKO WA MWEZI HUU UMEFIKA, NI SAMSUNG GALAXY A25 MPYA KUTOKA MERIDIANBET

  • 49
Scroll Down To Discover

Mwezi wa Julai umewasili na Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee kushinda zawadi kabambe. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Julai 2025, ukiwa mchezaji aliye jisajili kupitia meridianbet, unaweza kuwa mmoja kati ya washindi watano (5) wa Samsung Galaxy A25 mpya kabisa.

Hii ni promosheni ya wale wanaopenda kubashiri na kufurahia michezo yao ya kasino na michezo ya kawaida. Haijalishi ni mchezo gani unapenda, unachotakiwa kufanya ni kuweka dau na kucheza. Kila dau unaloweka linakupeleka karibu na ushindi. Unavyocheza zaidi, ndivyo nafasi zako za kushinda zinavyoongezeka. Sio suala la bahati pekee, ni suala la ushiriki na juhudi zako.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na Super Heli, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Droo kubwa ya washindi itafanyika tarehe 1 Agosti 2025, na majina ya washindi yatatangazwa siku hiyo hiyo. Hakikisha akaunti yako ina taarifa sahihi ili kuwa na uhakika wa kujipatia zawadi yako pale unaposhinda.

Kwa uwazi na usawa, promosheni hii ni halali kwa mtumiaji mmoja tu kwa kila anwani. Tafadhali kumbuka kwamba Turbocash na system tickets hazihesabiwi kwenye ofa hii.

Fikiria raha ya kubeti kama kawaida, kufurahia michezo yako, na mwisho wa mwezi unapokea taarifa kuwa umeshinda Samsung Galaxy A25 mpya kabisa. Si kwa sababu ya miujiza, bali kwa sababu ulichagua kucheza Meridianbet.

Usisubiri hadi siku za mwisho kucheza, anza sasa. Meridianbet inahifadhi haki ya kubadili au kusitisha promosheni hii wakati wowote. Kadri unavyoanza mapema, ndivyo nafasi zako zinavyokuwa kubwa zaidi.

Tembelea meridianbet, ingia au jisajili, weka dau, cheza michezo yako ya kasino au kubashiri, na jiweke kwenye nafasi ya kuwa mmoja wa washindi wa Samsung mpya.

The post USHINDI WAKO WA MWEZI HUU UMEFIKA, NI SAMSUNG GALAXY A25 MPYA KUTOKA MERIDIANBET appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post BASHIRI MECHI ZAKO USHINDE SAMSUNG A25 ….
Next Post PATA FURSA YA KUSHINDA ZAWADI KUBWA NA MERIDIANBET NA AIRTEL MONEY….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook