Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

BASHIRI NA *149*10# USHINDE SAMSUNG A25….

  • 40
Scroll Down To Discover

Promosheni nyingine kali imetua kwa wakali wa Odds za kibabe Meridianbet hivyo kwa wale ambao wanatumia vitochi na USSD huu ni wakati wao wa kujishindi Samsung A25. Weka pesa kwenye akaunti yako uanze kushindana sasa.

Jumatano ya kitajiri inakuita huku! Meridianbet wamepanga siku hii maalumu ya wewe kuondoka na Samsung A25 yako mpya sana endapo utabshiri mechi zako uzipendazo kutoka kwenye ligi yoyote. Kumbuka ni ligi ya mpira wa miguu pekee.

Mechi za mpira wa miguu zinakupatia nafasi kubwa ya wewe kuwa mmiliki halali wa Samsung A25 leo. Piga *149*10# uanze safari yako ya kujishindia simu yako na Meridianbet. Mechi zipo nyingi sana za wewe kubashiri kuanzia pale Iceland, Finland, na mechi za kirafiki zote zipo kwaajili yako.

Muda kwa kampeni hii ni mwezi mmoja pekee imeanza Mosi Julai na itaenda mpaka 31 Julai. Changamkia nafasi hii sasa huenda bahati yako imefika leo, Simu hii ni chaguo bora kwa yeyote anayetafuta ubora na ufanisi katika matumizi ya kila siku. Hivyo basi, kushinda simu kama hii ni ndoto inayoweza kutimia kwa kupitia promosheni hii ya kipekee.

Meridianbet inasema kuwa simu ambazo zinatolewa zipo 4 pekee ambapo kila Jumatano kutakuwa na droo ya kuwapata washindi. Unaweza kuwa moja ya washindi ambao watafika moja kwa moja makao makuu ya Meridianbet jijini Dar es salaam kwaajili ya kujipatia simu zao.

Piga pesa kirahisi, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kumbuka pia wakati ukiwa unabashiri mechi zako lazima zianzie mechi 3 na kuendelea ndipo tiketi yako itahesabiwa kwenye washindi. Ni rahisi sana suka jamvi lako ambapo ndani ya Meridianbet mechi zipo kibao tena zenye ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000.

Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi ambazo zitakuwa na TURBOCASH zitakuwa batili hazitahesabiwa, hivyo mchezaji akibashiri mechi zake inabidi asubiri mechi zimalizike ndipo tiketi zake zitahesabiwa kwenye watu wanaojishindia Samsung A25.

The post BASHIRI NA *149*10# USHINDE SAMSUNG A25…. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post SIMBA & FADLU WAVIZIANA….MWENYEWE ATIA MSIMAMO HUU MPYA KUHUSU WACHEZAJI..
Next Post MERIDIANBET YAGUSA MAISHA YA WAKAZI WA MAGOMENI NA MANZESE…
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook