Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Yanga Yaipiga Simba, Yabeba Ubingwa

  • 33
Scroll Down To Discover

Mchezaji wa Young Africans, Pacome Zouzoua

Klabu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Derby ya Kariakoo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

Kwa ushindi huo, Yanga SC anatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya 31 katika historia yake, ikiwa ni kwa msimu wa 2024/2025.



Prev Post Mume Wangu Alibadilika Ghafla Usiku Mmoja Kile Kilichofichuliwa na Usomaji wa Kiroho Kilikutikisa Moyo Wangu
Next Post Mkutano Mkuu wa TAMWA 2025: Usawa, Heshima na Siasa Safi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook