Michuano ya Kombe la COSAFA inaendelea leo kwa hatua ya nusu fainali ambapo mechi mbili kali zinatarajiwa kuchezwa. Mchezo wa kwanza utawakutanisha Angola dhidi ya Madagascar saa 10:00 jioni, huku wenyeji wa michuano hiyo, Afrika Kusini, wakipambana na Comoro saa 1:00 usiku.
Madagascar waliingia hatua hii baada ya kuongoza Kundi C kwa alama 4 walizozipata kwa ushindi dhidi ya Tanzania na sare dhidi ya Eswatini. Tanzania walishika nafasi ya pili kwa alama 3, huku Eswatini wakimaliza wa mwisho na alama 1.
Angola nao waliongoza Kundi B kwa alama 7 baada ya kushinda dhidi ya Lesotho na Malawi na kutoka sare na Namibia. Namibia walifuata kwa alama 5, Lesotho 3 na Malawi alama 1.
Afrika Kusini waliongoza Kundi A kwa tofauti ya magoli dhidi ya Zimbabwe na Msumbiji baada ya timu zote tatu kufungana kwa pointi 4, huku Mauritius wakiburuza mkia kwa alama 3.
Piga pesa kwenye michuano hii ya COSAFA kwa kubashiri na Meridianbet, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno na mingine kibao.
Kwa upande wa Comoro, waliongoza Kundi D kwa alama 4 wakizibwaga Botswana waliomaliza na alama 2 na Zambia waliomaliza na pointi 1 pekee.
Meridianbet imeweka odds kubwa kwa michezo hii ya nusu fainali, ikiwa ni nafasi adhimu kwa wapenda kubashiri kutengeneza ushindi mnono.
Mechi kati ya Angola na Madagascar ina odd ya 1.95 kwa Angola na 4.50 kwa Madagascar, huku mchezo wa Afrika Kusini dhidi ya Comoro ukiwa na odd ya 1.75 kwa wenyeji na 5.40 kwa Comoro. Wateja wanaweza kufanya machaguo zaidi ya 800 kwa kila mechi kupitia Meridianbet na kujipatia nafasi ya kushinda zaidi katika hatua hii ya michuano wa COSAFA.
The post MICHUANO YA COSAFA KUENDELEA LEO…. appeared first on Soka La Bongo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!