MAGAZETI ya Leo Jumapili 25 May 2025
Klabu ya Yanga imetangaza kuachana rasmi na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wake, Stephane Aziz Ki ambaye amesajili na Wydad Athletic ya Morocco.
Kiungo huyo anaondoka Young Africans akiwa ameacha historia kubwa baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka mitatu akitokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast.
Aziz Ki alicheza mechi yake ya mwisho Yanga na kupewa heshima ya kuwa nahodha mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!