
Mfanyabiashara mkubwa nchini, Rostam Aziz ameeleza jinsi alivyofanikiwa kununua mgodi wa almasi wa Mwadui uliozusha gumzo siku kadhaa zilizopita kwenye mitandao ya kijamii.
Rostam amesema hajanunua mgodi huo kutoka kwa serikali bali alinunua hisa kutoka kwenye kampuni ya kigeni iliyokuwa ikiumiliki mgodi huo na kusisitiza kuwa alifuata hatua zote za kisheria.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!