Chama cha Ukombozi wa Umma yaani CHAUMMA kimezindua rasmi kampeni zake mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam, kikiwa miongoni mwa vyama 17 vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Je, ni sera gani mpya zinazonadiwa na chama hicho?
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!