Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongofleva William Nicolas Lyimo maarufu (Bill Nass) akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika Agosti 31, 2025 kwenye uwanja wa Puma mjini Kondoa ambapo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mgonbea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan aliwahutubia wananchi na kuwaomba kura za ndiyo ifikapo Oktoba 29, 2025 katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika nchini Kote.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!