Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waisraeli waandamana kutaka vita kuisha Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • 2
Scroll Down To Discover

Polisi mjini Tel Aviv, Israel wamekabiliana na waandamanaji katika maandamano yaliyotajwa kama siku ya kukatiza shughuli za kawaida nchini humo. Maandamano yanafanyika nchini kote ili kuunga mkono familia za mateka wanaoshikiliwa na kundi la Hamas. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post NAFASI za Kazi Plan International Tanzania
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 27, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook