Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

  • 4
Scroll Down To Discover

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum.



Prev Post Kamanda Muliro Avunja Ukimya Kaulimbiu Za Chadema ‘No Reform No Election’ Na CCM ‘Oktoba Tunatiki’ – Video
Next Post NMB BANK YATOA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA WA DODOMA KUPITIA NMB BUSINESS CLUB
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook