Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Polisi Mkoani Mara Washikilia Mlinzi wa Guard Force kwa Kumjeruhi Mwanafunzi

  • 3
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Adili Matayo (31), mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Guard Force, kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi mwanafunzi Deus Wambehu (16) wa Shule ya Msingi Majimoto.

Tukio hilo lilitokea wakati Adili Matayo alijaribu kuwakamata watu waliovamia mgodi wa dhahabu wa Chang Shen, ambao walikuwa wakijaribu kuiba mawe yanayodhaniwa kuwa dhahabu.

Mwanafunzi Deus Wambehu anaendelea na matibabu katika Kituo cha Afya Iramba, huku uchunguzi wa tukio ukiendelea na Jeshi la Polisi likisisitiza kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mlinzi huyo.



Prev Post Wananchi Arusha Wapewa Elimu Kuhusu Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia Ya Umeme
Next Post Kamanda Muliro Avunja Ukimya Kaulimbiu Za Chadema ‘No Reform No Election’ Na CCM ‘Oktoba Tunatiki’ – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook