Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Bosi Wangu Alitaka Kuniangamiza Kwenye Kazi, Lakini Hatua Niliyopiga Ilimfanya Aniombe Msamaha

  • 8
Scroll Down To Discover

Nilipata kazi yangu ya ndoto baada ya kungoja kwa muda mrefu. Nilijua itakuwa nafasi ya kubadilisha maisha yangu na kusaidia familia yangu. Hata hivyo, mambo hayakuenda vile nilivyotarajia.

Baada ya miezi michache nilianza kugundua bosi wangu hakuwa akinipenda. Alionekana kunionea wivu kwa jinsi nilivyokuwa nafanya kazi vizuri na nilipata sifa kutoka kwa wafanyakazi wenzangu.

Kila mradi nilipewa nilifanya kwa bidii, lakini kila mara alitafuta kosa dogo la kunilaumu mbele ya wenzangu. Aliniweka kwenye shinikizo kubwa na aliniandikia barua ya onyo mara mbili kwa sababu ambazo hazikuwa na msingi. Nilihisi kama alitaka niachishwe kazi. Wafanyakazi wenzangu walinionea huruma lakini hakuna aliyethubutu kumkabili.SOMA ZAIDI



Prev Post Nepal: Vifo vya Maandamano Vyafikia 51, Jaji Mkuu wa Zamani Aongoza Serikali ya Mpito
Next Post Dkt. Samia aahidi kuifanya Kigoma kuwa kitovu cha biashara
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook