Mjumbe maalum wa Rais wa Marekani, Steve Witkoff, amezuru kusini mwa Gaza kukagua maeneo ya misaada ambayo yamekuwa yakikosolewa kwa kuungwa mkono na Israel na Marekani. Alikuwa ameandamana na balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, ambaye alichapisha picha hizi kwenye mitandao ya kijamii.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!