Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ufunguzi Michuano Ya Chan 2024

  • 39
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Agosti 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano ya CHAN 2024, katika Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo wa ufunguzi Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inachuana na Burkina Faso.

Michuano hiyo inafanyika katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda.



Prev Post NAFASI za Kazi Coca Cola Kwanza Ltd
Next Post Kailima Awataka Wanahabari Kuhakikisha Usawa kwa Vyama Wakati wa Kampeni
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook