Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mystery Multiplier Drop, Fursa Mpya ya Ushindi Na Meridianbet Kasino

  • 34
Scroll Down To Discover

Kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imeleta jambo jipya ambalo linazua msisimko mkubwa kwa wachezaji wa kasino, kampeni ya Mystery Multiplier Drop.

Ikiwa na lengo la kuongeza ladha ya ushindi na kuipa burudani ya kasino sura mpya, kampeni hii ni zawadi kwa kila mchezaji wa michezo ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma maarufu duniani, Wazdan. Kipindi rasmi cha kampeni hii kilianza tarehe 28 Julai na kitaendelea hadi tarehe 11 Agosti, kipindi kifupi lakini chenye mzunguko mkubwa wa zawadi kwa wachezaji waliobahatika.

Kinachofanya kampeni hii kuwa ya kipekee ni mfumo wake wa ushindi usiotabirika kwani kila dau unaloliweka linaweza kukuletea zawadi ya pesa taslimu papo hapo, bila haja ya masharti magumu ya ziada. Hii inaipa kampeni sura ya kipekee ambapo kila mchezaji ana nafasi ya kuibuka na ushindi.

Zaidi ya burudani, Meridianbet imewekeza kwa kiwango kikubwa kwenye kampeni hii. Takribani TZS Bilioni 2.1 zimetengwa kwa zawadi katika kipindi hiki kifupi, ikiwa ni sehemu ya mpango mpana wa zawadi wa zaidi ya TZS Bilioni 15. Kwa wale wanaotumia bonus funds na wakashinda, zawadi yao itawekwa kama bonasi, bado ni fursa ya kushinda zaidi.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kwa mujibu wa masharti ya kampeni, wachezaji wote wanaotaka kushiriki lazima wawe na akaunti iliyothibitishwa ya Meridianbet. Hili ni jambo la msingi kuhakikisha uwazi na uaminifu. Kampuni pia imeweka wazi kuwa ina haki ya kughairisha zawadi yoyote itakayohusishwa na udanganyifu au matatizo ya mfumo hivyo kulinda haki za wachezaji halali.

Kwa mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni, huu si wakati wa kukaa pembeni. Ni fursa adhimu ya kucheza michezo ya kiwango cha juu na kujishindia zawadi kubwa katika mazingira ya haki, uwazi na burudani ya hali ya juu. Mystery Multiplier Drop siyo tu jina la kampeni, bali ni tiketi ya kila mchezaji kuelekea kwenye maisha ya ushindi wa kweli.

Usichelewe, tembelea Meridianbet sasa, ingia kwenye sehemu ya michezo ya Wazdan, weka dau lako na uanze safari ya kuelekea kwenye mshangao wa zawadi. Bahati haipigi hodi mara mbili, lakini kwa Mystery Multiplier Drop, kila dau ni mlango mpya wa uwezekano wa kubadilisha maisha yako.



Prev Post Kamanda wa Polisi Mtwara Afunguka Kuhusu Tukio la Ebitoke
Next Post NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook