Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

  • 46
Scroll Down To Discover

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

Kwa zaidi ya miaka 70, World Vision imejitolea kulinda na kutunza watoto na wale wanaohitaji.

Nchini Tanzania, Wold Vision imekua moja ya mashirika makubwa ya kibinadamu na maendeleo nchini.

Miradi na kazi zetu zinaenea hadi mikoa 14 kati ya 33; katika wilaya 41. Maeneo ambayo tunafanyia kazi yamegawanywa katika Programu za Maeneo 48 (APs) ambazo zinasimamiwa na Ofisi 7 za Nguzo.

Lengo letu ni kuchangia katika uboreshaji unaopimika na ustawi endelevu wa wasichana na wavulana milioni 15-hasa walio hatarini zaidi. Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi tunavyopanga kutimiza hili, tafadhali soma mkakati wetu wa 2016-2020.

Wold Vision inawaalika watu wenye sifa stahiki kujaza nafasi mbalimbali zilizoainishwa hapa chini;



Prev Post Mystery Multiplier Drop, Fursa Mpya ya Ushindi Na Meridianbet Kasino
Next Post NAFASI Za Kazi Barrick Gold Mine
Related Posts
© Image Copyrights Title

NAFASI za Kazi SJUT Tanzania

© Image Copyrights Title

NAFASI Za Kazi Barrick Gold Mine

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook