Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

ACT Wapokea Nakala Tepe Daftari La Wapiga Kura

  • 37
Scroll Down To Discover

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu akipokea nakala tepe ya daftari la kudumu la wapigakura kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Rufani Jacobs Mwambegele kwenye kikao cha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na viongozi wakuu wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu 2025 iliyofanyika katika Ukumbi wa Hazina Dodoma tarehe 27 Julai 2025.



Prev Post Mbeto: Wanaongoja kusikia CCM imepasuka watasubiri kwa miaka mingi
Next Post Benki Ya Absa Tanzania Na World Vision Tanzania Wakabidhi Mradi Wa Maji Safi Kwa Kijiji Cha Kwedizinga
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook