
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo, Julai 29, 2025, imetangaza majina ya wagombea saba walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kisesa — huku jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina, likiwa halipo kwenye orodha!
Tangazo hilo limetolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, katika mkutano na waandishi wa habari.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!