Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee ya Expanse Tournament, shindano la kusisimua la michezo ya sloti linalofanyika kuanzia tarehe 08 Julai hadi 22 Julai 2025. Katika kipindi hiki, wachezaji watakaokua nafasi za juu watapata zawadi mbalimbali, ikiwemo pesa taslimu na mizunguko ya bure, huku jumla ya zawadi zikiwa zaidi ya TZS 2,000,000.
Ili kushiriki, unahitajika kuwa na akaunti halali ya Meridianbet na umri wa miaka 18 au zaidi. Wachezaji wataweza kushinda kwa kucheza michezo maarufu ya Expanse kama Pia Premium, 100 Super Icy, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Wild White Whale, na Zombie Apocalypse. Dau la chini kwa kila mzunguko ni TZS 1,000, na pointi zitahesabiwa kwa mfumo wa uwiano wa ushindi dhidi ya dau (Win/Bet).
Zawadi zitatolewa kwa washindi 20 wa kwanza, ambapo mshindi wa kwanza atajinyakulia TZS 1,000,000 taslimu, wa pili TZS 500,000, wa tatu na wa nne TZS 250,000 kila mmoja, na wa tano TZS 100,000. Nafasi za 6 hadi 10 zitapewa mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium, na nafasi za 11 hadi 20 watapata mizunguko 50 ya bure.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ushindi utokanao na mizunguko ya bure, yaani ushindi kutoka kwa wale wa nafasi ya 06 mpaka nafasi ya 20 utahitaji kuchezwa tena mara 60 kabla ya kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi. Hii ni fursa pia kwa wachezaji maana kiasi hicho kitakachozungushwa kinaweza ongeza faida kwa mchezaji na kumpa kipato kikubwa zaidi. Meridianbet itawajulisha washindi wote waliojishindia zawadi zao mapewa kabisa kwani meridianbet inawathamini wateja wake na haina zungushazungusha kwenye suala la malipo.
Promosheni hii ni halali kwa mtumiaji mmoja kwa kila akaunti, na kwa kushiriki, mchezaji anakuwa amekubaliana na vigezo na masharti ya Meridianbet. Kampuni inahifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni wakati wowote.
Hii ni nafasi yako ya kugeuza spins zako kuwa pesa taslimu. Jisajili sasa kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au app ya simu, cheza michezo ya Expanse, na uwe miongoni mwa watakaojipatia ushindi wa mpaka milioni 1 pesa tasilimu.
The post EXPANSE TOURNAMENT IMERUDI KWA KISHINDO NA ZAWADI ZA JUU KUTOKA MERIDIANBET… appeared first on Soka La Bongo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!