Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mbowe Aibukia Kanisani Kwa Mchungaji Kimaro

  • 42
Scroll Down To Discover

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Freeman Mbowe

Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa mbele ya Madhabahu ya Bwana, na kutoa neno fupi la faraja na mshikamano kwa waumini waliohudhuria ibada hiyo.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV — usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili uendelee kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.



Prev Post NECTA Yatangaza Matokeo Ya Kidato Cha Sita
Related Posts
© Image Copyrights Title

NECTA Yatangaza Matokeo Ya Kidato Cha Sita

© Image Copyrights Title

Watatu Wahofiwa Kufariki Ajali Ya Lori

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook