Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

FCC YAJIZATITI KUTOA ELIMU KWA UMMA KATIKA MAONESHO YA 49 SABASABA

  • 40
Scroll Down To Discover

 

Tume ya Ushindani (FCC), imeendelea kutumia fursa ya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kwa kutoa elimu kwa Umma ambao ndio walaji au watumiaji wa bidhaa na huduma. 

Maonesho hayo yenye kauli mbiu “Maonesho ya Kibiashara ya Kimataifa Sabasaba, Fahari ya Tanzania”, yameanza tarehe 28 Juni na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 13 Julai, 2025. 

Wananchi mbalimbali wameendelea kujitokeza na kutembelea banda la FCC ambapo wamenufaika kwa kupata elimu zaidi inayohusu masuala ya Ushindani, Udhibiti wa Bidhaa Bandia na Kumlinda Mlaji kutoka kwa watumishi wa FCC.



Prev Post NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA ATEMBELEA BANDA LA PPAA
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 28, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook