Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

RC Kihongosi Arudi Arusha, Aahidi Ushirikiano na Viongozi wa CCM

  • 49
Scroll Down To Discover

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi amefika kwenye ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha na kupokelewa na Katibu wa CCM mkoa huo Komredi Mussa Dadi Matoroka, Julai 01, 2025.

Mhe.Kihongosi licha ya kusaini kitabu cha wageni na kuwashukuru kwa mapokezi makubwa waliyoyafanya na baadaye kufanya mazungumzo mafupi na baadhi ya viongozi wa Chama hicho kwenye kikao cha ndani.

Hata hivyo Katibu wa CCM Komredi Matoroka ametumia wasaa huo kumkaribisha tena Kihongosi Mkoani Arusha huku akimshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kumrejesha tena Arusha kwa kuwa amekuja kuendeleza pale alipoishia alipokiwa mkuu wa wilaya ya Arusha.

Aidha, Matoroka amemuahakikishia kuwa upo ushirikiano mkubwa wa Chama na Serikali kwa ngazi zote katika mkoa huo, hivyo uwepo wake yapo matarajio makubwa ya Chama na Serikali kutoka kwake kama Mkuu mpya wa Mkoa.



Prev Post Waziri Mkuu Majaliwa Hatogombea Ubunge Tena 2025 – Video
Next Post USHIRIKI WA TAWA KATIKA MAONESHO YA 49 YA BIASHARA YA KIMATAIFA
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook