Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Amteua John Pima Kuongoza Manispaa ya Tabora

  • 44
Scroll Down To Discover

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua John Pima kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora mkoani Tabora akichukua nafasi ya Elias Kayandabila.

Pima kabla ya kuteuliwa katika wadhifa huo amewahi kuhudumu kama Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha.

Uteuzi wake umetangazwa Jumatatu Juni 23, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka.



Prev Post Dawa ya kumzuia mume asiende nje ya ndoa
Next Post Rais Samia Awapumzisha Wakuu wa Mikoa Watano, Yumo Makonda – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook