
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba amehoji bungeni leo kuhusiana na uhaba wa maji katika maeneo ya Makumbusho, Mwananyamala pamoja na Hananasifu jijini Dar es Salaam kuwa ni changamoto ya muda mrefu.
Sikiliza majibu ya Naibu Waziri wa Maji, Eng. Kundo Mathew hapa.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!