
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 07 June 2025
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 07 June 2025
Klabu ya Mlandege imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuibuka na Ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya New City.
Mechi hiyo imehitimisha michezo 30 ya mzunguko wa PBZ Premier League, huku KVZ ikichukua nafasi ya pili baada ya kuifunga timu ya Kipanga bao 1-0 ikivuna alama 62 na kujipatia mabao 23.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!