Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Bashiri kwa 5000 Ujishindie Samsung A25

  • 20
Scroll Down To Discover

Meridianbet inafurahia kutangaza kampeni mpya inayowezesha wateja wake kupata Samsung A25 mpya kabisa kwa urahisi kwa dau la shilingi 5000. Wateja sasa wanaweza kushiriki na kudai zawadi zao bila shida yoyote, kwa haraka na kwa usalama wa hali ya juu.

Hii ni fursa ya kipekee kwa wapenzi wa teknolojia kupata simu bora mkononi, na Meridianbet inahakikisha mchakato mzima unakuwa rahisi, wazi, na wa kuridhisha. Usikose nafasi hii chukua Samsung A25 yako sasa kupitia Meridianbet.

Promosheni hii inaenda kwa kasi sana kadri siku zinavyoenda kwani ilianza toka tarehe 01 Juni na mwisho wake utakuwa ni tarehe 30 mwezi Juni. Hivyo changamkia fursa hii ya kipekee ambayo imekujia na wakali wa ubashiri.

Meridianbet inakukumbusha kuwa promosheni hii ni kwa wateja ambao wamejisajili na Meridianbet pekee, hivyo kama bado hujajisajili muda ndio huu. Vilevile kianzio cha kubashiri mechi ni shilingi 5000 ambapo mteja atabashiri mechi azipendazo yeye, hakuna njia rahisi ya kujiweka na karibu na ushindi kwani mchumia juani hulia kivulini.

Bado hujachelewa sasa una siku 24 zilizobaki za kushindania zawadi hiyo ya Simu janja na wakali wa ubashiri. Kila wiki ukiweka dau la 5000 na ukabashiri ndivyo unavyojiweka karibu kabisa na ushindi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye hizo mechi ambazo anaziweka hivyo ni rahisi sana kutusua hapa.

Promosheni ikiwa inaendelea Meridianbet wametenga siku maalumu ambayo itakuwa ni Ijumaa ambapo simu 2 zitatolewa kwa washindi, hivyo huenda leo hii ndio bahati yako. Mechi nyingi za ushindi zipo kila siku hivyo kadri unavyobeti mara nyingi ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi ya kushinda simu janja.

TURBO CASH haitatumika wakati wa promosheni yaani ukibashiri mechi zake kwa dau lako ambalo umeweka kama mechi kumi inabidi usubiri mechi zote ziishe ndipo uweze kutoa pesa kama umeshinda.   

 

 



Prev Post Mchengerwa: Hakuna Fursa Kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano Kubadili Shule Walizopangiwa
Next Post Jinsi Viungo Vya Binadamu Vinavyouzwa Kwa Siri India, Mtanzania Awaonya Wanaoenda Huko – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook