Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 19 May 2025

  • 38
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 19 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 19 May 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu tarehe 19 May 2025

Mshauri wa Rais wa Tanzania Masuala ya Afya na Tiba ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Yakub Janabi ametangazwa rasmi kushinda uchaguzi na amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye uchaguzi uliofanyika May 18,2025 Geneva.

Uchaguzi huo umefanyika kuziba nafasi ambayo iliachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa nafasi hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kufariki ambapo Prof Janabi alikuwa ni Mgombea pekee kutoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, huku wenzake wanne wakitokea nchi za Afrika Magharibi akiwemo Dkt. N’da Konan Michel Yao (Ivory Coast), Dkt. Dramé Mohammed Lamine (Guinea), Dkt. Boureima Hama Sambo (Niger) na Prof. Mijiyawa Moustafa wa Togo.



Prev Post Boni Yai: Mbowe Hana Uhusiano na Wanaojiondoa Chadema – Video
Next Post UAMUZI MMOJA TU WA KIJASIRI ULINIFUNGULIA MLANGO WA TENDA ILIYONIBADILISHIA MAISHA YANGU MILELE
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 17 May 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook