Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wananchi waliokumbwa na janga la kuangukiwa na kifusi katika mgodi uliopo Kijiji cha Mwongozo, Kata ya Mwenge, mkoani Shinyanga.

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!