Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Amuwakilisha Rais Samia Maadhimisho ya Miaka 20 ya Itifaki ya SADC Dhidi ya Rushwa

  • 32
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gran Melia, jijini Arusha Agosti 13, 2025.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stegomena Tax ya kutambua mchango wake katika utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa, kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stegomena Tax ya kutambua mchango wake katika utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa (Picha zote na Ofisi ya Waziri. 



Prev Post HUKO YANGA FOLZ AANZA NA MGUU HUU….KWA HILI LAZIMA MASTAA WAPYA WAKIONE CHA MOTO..
Next Post Jamii Yakumbushwa Kutowatenga Wenye Kifafa, “Kifafa Sio Laana Wala Mkosi”
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook